Kutokea Daraja la Tanzanite, watu mbalimbali wafika kushuhudia mechi ya Real Madrid na Liverpool - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Saturday, May 28, 2022

Kutokea Daraja la Tanzanite, watu mbalimbali wafika kushuhudia mechi ya Real Madrid na Liverpool

Ni Mei 28, 2022 ambapo watu mbalimbali wamefika katika Daraja Tanzanite Dar es Salaam kushuhudia live fainali kati ya Real Madrid na Liverpool kupitia Big Screen iliyofungwa kwenye daraja hilo.

Hapa unaweza tazama picha mbalimbali shangwe za mashabiki wa Mpira waliofika kujionee fainali hiyo inayoendelea muda huu.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages