
Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Dkt Aboud Suleiman Jumbe na Mkurugenzi wa Idara ya Sera Mipango na Utafiti wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi, Ndg Sheha Idrissa Hamdan, waalikwa katika studio za Bahari FM 97.5 Zanzibar kuzungumzia masuala mbali mbali ya utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi katika Sekta za Uchumi wa Buluu.
No comments:
Post a Comment