Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Afungua Skuli ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan, Makunduchi Kusini Unguja, Zanzibar - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, August 22, 2024

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Afungua Skuli ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan, Makunduchi Kusini Unguja, Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kufungua Skuli ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi katika eneo la Makunduchi, Shehia ya Tasani Kusini Unguja, Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kufungua Skuli ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi katika eneo la Makunduchi, Shehia ya Tasani Kusini Unguja, Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua moja ya Madarasa mara baada ya kufungua Skuli ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi katika eneo la Makunduchi, Shehia ya Tasani Kusini Unguja, Zanzibar.
Kikundi cha burudani kikitumbuiza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan katika shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi, Makunduchi, Shehia ya Tasani Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi mara baada ya kufungua Skuli ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi, Makunduchi, Zanzibar.
Wageni kutoka maeneo mbalimbali pamoja na wananchi wakiwa kwenye hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi, Makunduchi, Shehia ya Tasani Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages