Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Watu wenye Ulemavu Salma Saadat Haji akipiga Mpira kuashiria Ufunguzi wa Bonanza la Michezo kwa wanafunzi kuelekea kilele cha Siku ya watu wenyeulemavu ambayo huadhimishwa kila ifikapo Disemba 3, hafla iliofanyika Uwanja wa kufurahishia Watoto Kisakasaka Zanzibar.
Wanafunzi wenye Ulemavu wakishindana katika Mchezo wa Magunia katika Bonanza la Michezo kwa Wanafunzi hao kuelekea kilele cha Siku ya watu wenyeulemavu ambayo huadhimishwa kila ifikapo Disemba 3, hafla iliofanyika Uwanja wa kufurahishia Watoto Kisakasaka Zanzibar.
Wanafunzi wenye Ulemavu wakishindana katika Mchezo wa kukalia Kiti katika Bonanza la Michezo kwa Wanafunzi hao kuelekea kilele cha Siku ya watu wenyeulemavu ambayo huadhimishwa kila ifikapo Disemba 3, hafla iliofanyika Uwanja wa kufurahishia Watoto Kisakasaka Zanzibar.
Wanafunzi wenye Ulemavu wakishindana katika Mchezo wa kuvuta Kamba katika Bonanza la Michezo kwa Wanafunzi hao kuelekea kilele cha Siku ya watu wenyeulemavu ambayo huadhimishwa kila ifikapo Disemba 3 hafla iliofanyika Uwanja wa kufurahishia Watoto Kisakasaka Zanzibar.
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Watu wenye Ulemavu Salma Saadat Haji akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Bonanza la Michezo kwa wanafunzi kuelekea kilele cha Siku ya watu wenyeulemavu ambayo huadhimishwa kila ifikapo Disemba 3, hafla iliofanyika Uwanja wa kufurahishia Watoto Kisakasaka Zanzibar.
Mkurugenzi Idara ya Maandalizi na Msingi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Fatma Mode Ramadhani akitoa hotuba ya Ufungaji wa Bonanza la Michezo kwa Wanafunzi hao kuelekea kilele cha Siku ya watu wenyeulemavu ambayo huadhimishwa kila ifikapo Disemba 3, hafla iliofanyika Uwanja wa kufurahishia Watoto Kisakasaka Zanzibar.
Baadhi ya Watoto wenye ulemavu waliohudhuria katika Bonanza la Michezo kwa wanafunzi kuelekea kilele cha Siku ya watu wenyeulemavu ambayo huadhimishwa kila ifikapo Disemba 3, hafla iliofanyika Uwanja wa kufurahishia Watoto Kisakasaka Zanzibar.
No comments:
Post a Comment