Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Masoud Othman (kulia) akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi Skuli ya Sekondari ya Maungani katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Skuli hiyo. Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar, yenye kauli mbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi: Amani, Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu".
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Masoud Othman (wa kwanza kushoto) akipatiwa Maelezo na Mkandarasi wa Kampuni ya FUCHS CO LTD Kutoka Daresalaam Delphinus Deogratius kuhusiana na Jengo la Skuli ya Sekondari ya Maungani katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Skuli hio. Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar, yenye kauli mbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi: Amani, Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu".
Baadhi ya Wananchi mbalimbali wakiwa wamesimama kwa ajili ya kuimba wimbo wa Mashujaa katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Skuli ya Sekondari ya Maungani. Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar, yenye kauli mbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi: Amani, Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu".
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Masoud Othman akitoa hotuba katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Skuli ya Sekondary ya Maungani. Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar, yenye kauli mbiu "Miaka 61 ya Mapinduzi: Amani, Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu".
No comments:
Post a Comment