Dkt. MWINYI AFUNGUA KONGAMANO LA BIASHARA KATI YA ZANZIBAR NA UMOJA WA ULAYA ZANZIBAR - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, February 27, 2025

Dkt. MWINYI AFUNGUA KONGAMANO LA BIASHARA KATI YA ZANZIBAR NA UMOJA WA ULAYA ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizundua Ripoti ya Umoja wa Ulaya ya Uwekezaji Zanzibar na (kulia) Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania na Afrika Mashariki Mhe. Christine Grau, uzinduzi huo uliyofanyika leo 27-2-2025, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Biashara kati ya Zanzibar na Umoja wa Ulaya, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
WASHIRIKI wa Kongamano la Biashara Kati ya Zanzibar na Umoja wa Ulaya wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa Kongamano hilo linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar lililofanyika leo 27-2-2025.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania na Afrika Mashariki Mhe.Christine Grau, baada ya ufunguzi wa Kongamano la Biashara kati ya Zanzibar na Umoja wa Ulaya, linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 27-2-2025.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages