RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI NA MWENYEKITI WA KAMPUNI YA SC JOHNSON FAMILY DKT. FISK PAMOJA NA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE IKULU CHAMWINO, DODOMA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Saturday, February 1, 2025

RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI NA MWENYEKITI WA KAMPUNI YA SC JOHNSON FAMILY DKT. FISK PAMOJA NA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE IKULU CHAMWINO, DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji na Mwenyekiti wa kampuni ya SC Johnson Family Dkt. Fisk Johnson kutoka Marekani pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma leo tarehe 1 Februari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia mfano wa majengo ya vituo vya afya kwa ajili ya huduma za mama na mtoto yatayojengwa na Jakaya Kikwete Foundation chini ya ufadhili wa Kampuni ya SC Johnson Family ya Marekani katika mikoa ya Kagera, Katavi, Kigoma, Mwanza na Rukwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Paul Matiku Chacha mfano wa ufunguo wa magari kwa ajili ya huduma ya afya inayotembea (Mobile Clinic) kwa Wilaya ya Sikonge na Uyui yaliyotolewa na Jakaya Kikwete Foundation chini ya ufadhili wa Kampuni ya SC Johnson Family ya Marekani, leo tarehe 1 Februari, 2025, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji na Mwenyekiti wa kampuni ya SC Johnson Family Dkt. Fisk Johnson kutoka Marekani pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma leo tarehe 1 Februari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji na Mwenyekiti wa kampuni ya SC Johnson Family Dkt. Fisk Johnson kutoka Marekani pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma leo tarehe 1 Februari, 2025.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages