ZICTIA na VODACOM Wasaini Makubaliano ya Kibiashara - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Wednesday, February 26, 2025

ZICTIA na VODACOM Wasaini Makubaliano ya Kibiashara

WAZIRI wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Dk. Khalid Salum Mohammed (wa pili kushoto), akishuhudia utaiji wa saini hati za makubaliano ya mashirikiano baina ya Shirika la Mawasiliano la Zanzibar (ZICTIA) na Kampuni ya Simu ya Vodacom hafla iliofanyika ukumbi wa Wizara hiyo Kisauni Wilaya ya Magharibi B, makubaliano hayo yamesainiwa na Mhandisi Shukuru Awadhi Sleiman kwa upande wa ZICTIA) na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Mhandisi Andrew Lupembe (kulia).
Mkurugenzi Mkuu Shirika la Mawasiliano Zanzibar (ZICTIA) Injinia Shukuru Suleiman Awadh na Mkurugenzi Miundombinu wa Vodacom, Mhandisi Andrew Lupembe (kulia) wakisaini hati za makubaliano ya kibiashara hafla uliofanyika Kisauni ofisi za Wizara ya Mawasiliano Unguja.


No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages