Waziri wa Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akiwasalimia wachezaji wa timu ya
mpira ya Kisiju wakati wa fainali za Kombe la Ulega zilizofanyika 05/03/2017
Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani.
Waziri wa Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akiwasalimia Waamuzi wa mpira
wakati wa fainali za Kombe la Ulega zilizofanyika 05/03/2017 Wilayani Mkuranga
Mkoani Pwani.
Waziri wa Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (katikati) akiteta jambo na Mbunge
wa Mkuranga, Mhe. Abdallah Ulega wakati wa fainali za Kombe la Ulega
zilizofanyika 05/03/2017 Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani.
Waziri wa Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akimpongeza Mbunge wa Mkuranga,
Mhe. Abdallah Ulega kwa juhudi zake za muleta maendeleo kaaika jimbo lake na
udahmini wake wa kuanzisha Kombe la Ulega ambapo fainali za kombe hilo
zimefanyika jana 05/03/2017 Wilayani hapo.
Mbunge wa Mkuranga, Mhe.
Abdallah Ulega akiongea na wageni waalikwa pamoja na wakazi wa wilayani hapo
kuhusu maendeleo ya jimbo lake na lingo la kuanzisha Kombe la Ulega ambapo
fainali za kombe hilo zimefanyika jana 05/03/2017 Wilayani hapo.
Waziri wa Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na
wachezaji wa timu ya Kisiju Wilayani Mkuranga wakati wa fainali za Kombe la
Ulega zilizofanyika 05/03/2017 Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani.
Timu za Moira za Kisiju
na Tengelea wakichuana kuwania kombe la Ulega lililoandaliwa na Mbunge wa
Mkuranga, Mhe. Abdallah Ulega ambapo fainali hiyo imechezwa jana 05/03/2017
Wilayani hapo.
Waziri wa Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye pamoja na wageni engine
walioalikwa wakifuatilia mpambano kati ya Timu ya mpira ya Kisiju na Tengelea
wakati wa fainali za Kombe la Ulega zilizofanyika 05/03/2017 Wilayani Mkuranga
Mkoani Pwani.
Baadhi wa Wakazi wa
Mkuranga Mkoani pwani wakishiriki zoezi la uchangiaji damu 05/03/2017 wakati wa
fainali za Kombe la Ulega lililoandaliwa na Mbunge wa Wilaya hiyo, Mhe.
Abdallah Ulega.
Baadhi wa Wakazi wa
Mkuranga Mkoani pwani walioshiriki zoezi la uchangiaji damu 05/03/2017 wakati
wa fainali za Kombe la Ulega lililoandaliwa na Mbunge wa Wilaya hiyo, Mhe.
Abdallah Ulega wakipokea zawadi za jezi na doti za khanga ikiwa ni sehemu za
motisha.
Mbunge wa Mkuranga Mhe.
Abdallah Ulega (aliyevaa tisheti la bluu) akiwa katika picha ya pamoja na
baadhi ya Wakazi wa Mkuranga Mkoani pwani walioshiriki zoezi la uchangiaji damu
05/03/2017 wakati wa fainali za Kombe la Ulega lililoandaliwa na Mbunge wa
Wilaya hiyo.
No comments:
Post a Comment