Muumini wa Kanisa la
Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Azania Front, Moses Kombe
(katikati) na wenzake wakiigiza igizo la kumbukumbu ya kuambwa msalabani kwa
Yesu Kristo miaka 2000 iliyopita katika ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika katika
kanisa hilo jijini Dar es Salaam leo jioni.
Igizo likiendelea.
Muonekano wa waumini
wakati wa ibada hiyo.
Kwaya Kuu ya Ushairika
huo ikitoa burudani ya nyimbo za kifo chake Yesu Kristo wakati wa kuhitimisha
ibada hiyo.
Askofu mstaafu Dk. Alex
Malasusa akisalimiana na waumini wa kanisa hilo baada ya ibada ya Ijumaa Kuu.
Waumini wa kanisa hilo
wakiwa nje kwa kuhitimisha ibada hiyo.
Waumini wakitakiana kheri
ya Ijumaa Kuu baada ya ibada hiyo.
No comments:
Post a Comment