Timu ya KRC Genk anayocheza Mtanzania Mbwana
Ally Samatta imeshindwa kutamba ugenini dhidi ya wenyeji CeltA Vigo baada ya
kukubali kichapo cha magoli 3-2 mchezo wa robo fainali wa Europa League.
Kwa
matokeo hayo Genk wamejiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele kwani
wanahitaji ushindi wa goli moja tu ili waweze kutinga hatua ya Nusu Fainali ya
Michuano hiyo.
Magoli
ya KRC Genk yalifungwa na Jean Boetius dakika ya 10 na Thomas Buffel aliyeingia
akitokea benchi dakika ya 68, kwa upande wa wenyeji magoli yao yalifungwa na
Pione Sisto dakika ya 15, Iago Aspas dakika ya 17 na John Guidetti dakika ya
38, kipigo hicho kinailazimu Genk katika mchezo wa marudiano Luminus Arena
April 20 itabidi wapate ushindi wa kuanzia goli 1-0 ili wafuzu nusu fainali.
Matokeo
Mengine ya Europa League:

No comments:
Post a Comment