Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Saruji Tanga
(TCPLC), Diana Malambugi (wa pili kulia), Meneja Mawasiliano na Mahusiano ya
Nje wa Kampuni hiyo, Mtanga Noor (kulia), pamoja na baadhi ya wanawawake
wafanyakazi wa Kampuni ya Saruji Tanga pamoja na wake wa wafanyakazi,
wakishiriki mbio za pole pole kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani zilizoanza
eneo la Kange na kumalizikia katika kiwanda cha kampuni hiyo, Pongwe, nje
kidogo ya mji wa Tanga.
Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa
Tanga, Dk. Amina Mchalaganya (wa pili kulia), baadhi ya wanawawake wafanyakazi
wa Kampuni ya Saruji Tanga pamoja na wake wa wafanyakazi, wakishiriki mbio za
pole pole (jogging), kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani zilizoanza eneo la
Kange na kumalizikia katika kiwanda cha kampuni hiyo, Pongwe nje kidogo ya mji
wa Tanga.
Meneja Rasilimali Watu wa
Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Diana Malambugi (wa pili kulia), Meneja
Mawasiliano na Mahusiano ya Nje wa Kampuni hiyo, Mtanga Noor (kushoto), Kaimu
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dk. Amina Mchalaganya (wa pili kushoto), pamoja
na baadhi ya wanawawake wafanyakazi wa Kampuni ya Saruji Tanga pamoja na wake
wa wafanyakazi, wakishiriki mbio za pole pole kuadhimisha Siku ya Wanawake
Duniani zilizoanza eneo la Kange na kumalizikia katika kiwanda cha kampuni
hiyo, Pongwe, nje kidogo ya mji wa Tanga.
Meneja Mawasiliano na Mahusiano
ya Nje wa Tanga Cement, Bi. Mtanga Noor (kulia), akitoa zawadi kwa baadhi ya
wanawake waliohudhuria maadhimisho hayo.
Baadhi ya washiriki katika
hafla hiyo wakiselebuka mara baada ya kumaliza mbio na tukio la kupima afya zao
ambapo wanawake hao walipimwa na kupewa elimu kuhusu ugonjwa wa saratani ya
shingo ya kizazi.
Baadhi ya wanawake wafanyakazi
wa Kampuni ya Saruji Tanga wakipiga picha ya kumbukumbu katika hafla hiyo.
Baadhi ya washiriki wakifanya
vitu vyao katika sherehe za maadhinisho ya Siku ya Wanawake Dunia ambayo kwa
mwaka 2017 Kampuni ya Tanga Cement waliadhimisha kwa kufanya mazoezi, kupima
afya na kupata mafundisho kuhusu masuala ya ujasiriamali.
No comments:
Post a Comment