Wednesday, June 1, 2022

TMDA: MATUMIZI YA TUMBAKU YANAWEZA KUSABABISHA MATATIZO KWENYE VIA VYA UZAZI
Afisa Mwandamizi wa Elimu kwa Umma na Huduma kwa wateja Roberta Feruzi akitoa elimu kwa wananchi waliojitokeza kwenye banda la TMDA kwenye eneo la Mwahako Jijini Tanga kunakoendelea Maonyesho ya Biashara na Utalii Jijini Tanga.
Afisa Mwandamizi wa Elimu kwa Umma na Huduma kwa wateja Roberta Feruzi akitoa elimu kwa wananchi waliojitokeza kwenye banda la TMDA kwenye eneo la Mwahako Jijini Tanga kunakoendelea Maonyesho ya Biashara na Utalii Jijini Tanga.
Afisa Mwandamizi wa Elimu kwa Umma na Huduma kwa wateja Roberta Feruzi akitoa elimu kwa wananchi waliojitokeza kwenye banda la TMDA kwenye eneo la Mwahako Jijini Tanga kunakoendelea Maonyesho ya Biashara na Utalii Jijini Tanga ambao hawapo pichani.
Afisa Mwandamizi wa Elimu kwa Umma na Huduma kwa wateja Roberta Feruzi akitoa elimu kwa wananchi waliojitokeza kwenye banda la TMDA kwenye eneo la Mwahako Jijini Tanga kunakoendelea Maonyesho ya Biashara na Utalii Jijini Tanga.
Afisa Mwandamizi wa Elimu kwa Umma na Huduma kwa wateja wa TMDA Roberta Feruzi akitoa elimu kwa wananchi waliojitokeza kwenye banda lao kwenye eneo la Mwahako Jijini Tanga kunakoendelea Maonyesho ya Biashara na Utalii Jijini Tanga.
Na Mwandishi Wetu, TANGA
MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba nchini (TMDA) imesema kwamba matumizi ya tumbaku yanaweza kusababisha matatizo kwenye via vya uzazi,athari ya kansa ya utumbo mpana na kupoteza nguvu kazi ya Taifa na hivyo kusababisha Serikali kutumia fedha nyingi katika kutibu magonjwa hayo
Hivyo wito ulitolewa kwa wananchi kuacha kutumia tumbaku,uvutaji wa sigara
kutokana na kwamba ni hatari kwa afya zao na athari zake ni kubwa kwa jamii hivyo waache matumizi yake
Hayo yalisemwa na Afisa Mwandamizi wa Elimu kwa Umma na Huduma kwa wateja Roberta Feruzi wakati akizungumza n waandishi wa habari katika eneo la Mwahako Jijini Tanga kunakofanyika maonyesho ya 9 ya viwanda,biashara na talii Jijini Tanga.
Alisema wameshiriki maonyesho hayo ili kuweza kutoa elimu kwa wananchi wao kama mamlaka ya dawa wamepewa dhamana ya kusimamia na kudhibiti bidhaa za tumbaku huku wakitoa wito kwa wananchi kuacha kutumia
Aidha alisema wao wanalinda kwa kuelekeza kwamba bidhaa za tumbuka watu waache kutumia bidhaa hizo kwani zimekuwa na athari kubwa sana kwa wananchi kidogo kidogo ikiwemo kansa lakini kubwa zaidi ni nguvu kazi ya uzalishaji mali kwa maendeleo ya Taifa inapungua .
“Lakini kubwa ni kundi cha chini ya miaka 18 limekuwa likijiingiza kwenye uvutaji wanatoa wito waache mara moja kwani mandhara yake ni makubwa kwa jamii“Alisema
Hata hivyo alisema wameshiriki kwenye maonyesho hayo kwa ajili ya kutoa elimu kwa wananchi waifahamu taasisi lakini kazi yao kulinda ubora wa jamii wanailinda kwa kusimamia ubora,usalama na ufanisi wa bidha za dawa,vifaa tiba na vitenganishi.
“Lakini pia kusimamia uzibiti wa bidhaa zinazotokana na tumbaku,TMDA kuhakikisha jamii na wanatoa elimu juu ya matumizi sahihi ya dawa wengi wamekuwa wakikiuka matumizi ya dawa ipasavyo kutokana na kutokupata elimu na kupelekea matatizo kwenye mwili na usugu vimilea”Alisema
Hata hivyo alisema pia wanatoa elimu juu ya utoaji wa tahadhari ya mauzi yanatoweza kutokana na maudhi ya bidhaa za dawa,vifaa tiba na vitengenishi waweze kutoa taarifa.
Tags
# BIASHARA
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
WADAU ZAIDI YA 500 KUSHIRIKI WIKI YA AZAKI 2025 MWEZI JULAI ARUSHA
Hassani MakeroApr 11, 2025JUBILEE HEALTH INSURANCE YAJIVUNIA MAFANIKIO YAKE,YAPEWA TUZO YA TSEA 2025
Hassani MakeroApr 08, 2025ABSA YAZINDUA MKOPO MPYA WA MALI ZA KIBIASHARA,SERIKALI YAPONGEZA JITIHADA
Hassani MakeroApr 04, 2025
Labels:
BIASHARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment