Wor'Out Media

Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

SERIKALI YATOA MWEZI MMOJA KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE 2024 KUBADILISHA MACHAGUO YA TAHASUSI ZA KIDATO CHA TANO

Hassani MakeroApr 02, 2025

SERIKALI kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI inatoa fursa ya mwezi mmoja kwa wanafunzi waliohitimu Kidato cha Nne mwaka 2024 kubadili tahasusi au kozi itak...

NBC Kutumia Mchezo wa Gofu Kuchochea Ushirikiano wa Kibiashara

Hassani MakeroMar 24, 2025

Mkuu wa majeshi Mstaafu na Muasisi wa mashindano ya Gofu ya NBC Waitara Trophy, Jenerali George Waitara (katikati) akikabidhi zawadi ya kwa mshindi wa...

KOCHA WA YANGA APEWA MKONO WA KWAHERI

Hassani MakeroFeb 04, 2025

Recent Posts

View More

Wednesday, April 2, 2025

SERIKALI YATOA MWEZI MMOJA KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE 2024 KUBADILISHA MACHAGUO YA TAHASUSI ZA KIDATO CHA TANO

1 day ago 0

SERIKALI kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI inatoa fursa ya mwezi mmoja kwa wanafunzi waliohitimu Kidato cha Nne mwaka 2024 kubadili tahasusi au kozi itakayomwandaa kuwa na utaalamu stahiki katika maisha yao ya baadae.Utaratibu huo umeanza Machi 31 had...

Read More

WADAU WAOMBWA KUJITOKEZA KUDHAMINI TAMASHA LA KUOMBEA UCHAGUZI MKUU MWAKA HUU

1 day ago 0

Wadau mbalimbali na Watanzania wameombwa kujitokeza kwa wingi kudhamini Tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu litakalofanyika katika mikoa 26 nchiniAkizungumza na waandishi wa Habari April 2, 2025 jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Pro...

Read More

Monday, March 31, 2025

Rais Samia ahutubia Baraza la Eid El Fitr Jijini Dar es Salaam

3 days ago 0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu pamoja na wageni mbalimbali kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius...

Read More

Sunday, March 30, 2025

MWENYEKITI WA CCM MKOA TANGA ASISITIZA AMANI SHEREHE ZA EID ELFITR

4 days ago 0

Na Mwandishi Wetu, TangaMwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, ndugu Ostadh Rajabu Abdullaman, amesisitiza umuhimu wa kuitunza amani katika taifa letu, huku akitoa wito kwa wananchi kuendelea kudumisha mshikamano na umoja wakati wa ...

Read More

Friday, March 28, 2025

AKIBA COMMERCIAL BANK PLC YAPELEKA TABASABU KITUO CHA KULELEA WATOTO CHAKUWAMA

6 days ago 0

Akiba Commercial Bank Plc Yapeleka Tabasamu Kituo cha Kulea Watoto- Chakuwama Sinza Dar es Salaam, 28/03/2025 – Katika kuendelea kujitoa kwa jamii, Akiba Commercial Bank Plc imetoa msaada kituo cha kulea Watoto cha Chakuwama, ikilenga kuboresha ...

Read More

TCB BANK YAENDELEA KUIMARISHA UCHUMI WA MTU MMOJA MMOJA

6 days ago 0

BENKI ya Biashara ya Tanzania ( TCB) imeendelea kuwa mdau wakuimarisha uchumi wa mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla kwa kugusa sekta mbalimbali nchini.Akizungumza leo Machi 28, 2025 jijini Dar es Salaam wakati wa Iftari iliyoandaliwa na benki hiyo...

Read More

Monday, March 24, 2025

Uchambuzi wa bajeti kuchochea ufanisi taasisi za umma

10 days ago 0

Na Mwandishi wa OMH, Dar es SalaamTimu ya wataalamu 53 kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) itajifungia kwa wiki mbili, kuanzia Jumatatu (Leo), kufanya uchambuzi wa mipango na bajeti za taasisi na mashirika ya umma, kazi ambayo ni muhimu katika ...

Read More

NBC Kutumia Mchezo wa Gofu Kuchochea Ushirikiano wa Kibiashara

10 days ago 0

Mkuu wa majeshi Mstaafu na Muasisi wa mashindano ya Gofu ya NBC Waitara Trophy, Jenerali George Waitara (katikati) akikabidhi zawadi ya kwa mshindi wa jumla wa mashindano ya NBC Waitara Trophy 2025 ‘Gofa’ mkongwe Edmund Mndolwa (wa tatu kushoto) ku...

Read More
Page 1 of 96112345...961Next �Last

Sharing Buttons

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *