Pichani ni wanafunzi wa shule ya sekondari ya Air Port iliyopo jijini mbeya wakiwa wamekamatia soda mkononi kotoka katika kampuni ya Coca-Cola ikiwa ni muendelezo wa kuendelea kuamsha shangwe na Coca-cola na ujio mpya wa mkanda mwekundu katika chupa za soda ya Coca-Cola.
Moja kati ya wanafunzi wa shule
hiyo ya Air Port iliyopo Jijini Mbeya akijaribu kushiriki shiondano la kupiga
danadana kwa kutumia Mpira na hatimae kujinyakulia Mpira huo kutoka Coca-Cola.
Mwanafunzi wa shule ya Air Port
Sekondari akionyesha moja ya zawadi aliyo ipokea kutoka Coca-Cola kwanza walipo
tembelewa shuleni hapo.
Wanafunzi
wa shule ya Sekondari Air Port wakiwa katika uwanja wa shule yao uliopo katika
eneo la jakalanda jijini mbeya kuuonja msisimko na Coca-Cola yenye muonekano wa
kuvutia ulio zinduliwa hivi karibuni mkoani mbeya na kuingizwa mtaani ili
wanambeya kuendelea kuamsha shangwe zao na Coca-Cola ya nguvu yenye muonekano
mpya wa mkanda mwekundu kwenyechupa za Coca-Cola.
Mwanafunzi wa shule ya Air Port Sekondari
akionyesha kipaji cha kuimba
Mwanafunzi wa shule ya Air Port Sekondari
akionyesha kipaji chake
No comments:
Post a Comment