Mke wa Rais wa Zanzibar
Mama Mwanamwema Shein, akikabidhi mashine ya kupimia presha wazazi katika kituo
hicho kwa Muuguzi Mkuu wa Afya na Jamii wa Kituo cha Afya Bogowa Bi. Moza
Mohammed Ali, kushoto Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Asha Suleiman, hafla
hiyo imefanyika katika viwanja vya Kituo cha Afya Bogowa Mkanyageni Wilaya ya
Mkoani Pemba.
Mke wa Rais wa Zanzibar
Mama Mwanamwema Shein, akikabidhi pempasi kwa ajili ya watoto wanaozaliwa
katika kituo hicho akipkea Muuguzi Mkuu wa Afya na Jamii wa Kituo cha Afya
Bogowa Bi. Moza Mohammed Ali, kushoto Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Asha
Suleiman, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Kituo cha Afya Bogowa
Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba.
Mke wa Rais wa Zanzibar
Mama Mwanamwema Shein, akimsikiliza Muuguzi Mkuu wa Afya na Jamii wa Kituo cha
Afya Bogowa Bi. Moza Mohammed Ali, akitowa shukrani kwa msaada huo kwa kituo
hicho. kushoto Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Asha Suleiman, hafla hiyo
imefanyika katika viwanja vya Kituo cha Afya Bogowa Mkanyageni Wilaya ya Mkoani
Pemba.
Mke wa Rais
wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Mama Asha Suleiman na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja na
Wafanyakazi wa Kituo cha Afya cha Bogowa Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba.
Viongozi wa meza kuu
wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla ya kukabidhi vifaa vya afya katika
kituo cha afya bogowa mkanyageni Wilaya Mkoani Pemba.
Mke wa Rais wa Zanzibar
Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Mhe Hemed
Suleiman alipowasili katika viwanja vya Kituo cha Afya Bogowa kwa ajili ya
kukabidhi Vifaa kwa ajili ya Chuma cha Wazazi katikac Kituo hicho cha Afya
katika Kijiji cha Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba.
Mke wa Rais wa Zanzibar
Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Wafanyakazi wa Wizara ya Afya na
Wananchi wa Kijiji cha Mkanyageni Wilaya Mkoani Pemba wakati alipowasili katika
viwanja vya Kituo cha Afya Bogowa kukabidhi vifaa vya afya katika Kituo hicho.
Mke wa Rais wa Zanzibar
Mama Mwanamwema Shein, na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha
Suleiman Balozi wakimsikiliza Mganga Mkuu wa Kanda ya Pemba Dr. Mbwana Shoka,
akitowa maelezo wakati wakitembelea Chumba cha Wazazi katika Kituo hicho cha
Afya Bogowa Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba.
Mke wa Rais wa Zanzibar
Mama Mwanamwema Shein, akimsikiliza Mganga Mkuu wa Kanda ya Pemba Dr. Mbwana
Shoka akitowa maelezo wakati wa ziara ya Mke wa Rais wa Zanzibar kutembelea
kituo hicho na kukabidhi vifaa vya Afya kwa Chumba cha Wazazi katika Kituo
hicho.
Mke wa Rais wa Zanzibar
Mama Mwanamwema Shein, akiteta jambo na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.
Harusi Siad Suleiman wakati wa hafla hiyo, wakiwa katika viwanja vya Kituo
hicho Bogowa Mkanyageni Pemba.
Mfanyakazi wa Kituo cha
Afya Bogowa Mkanyageni Pemba Mwanahawa Mohammed Abdallah akisoma risala kwa
niaba ya wafanyakazi na wananchi wa Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba.
Mganga Mkuu wa Kanda ya
Pemba Dr Mbwana Shoka akitowa maelezo kwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama
Mwanamwema Shein, wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya chumba cha wazazi kwa
Kituo hicho cha Afya Bogowa Mkanyageni Pemba.
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini
Pembe Mhe. Omar Khamis akizungumza wakati wa hafla hiyo kabla ya kumkaribisha
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein. wakati wa kukabidgi vifaa vya
Afya kwa Kituo cha Afya Bogowa Mkanyageni Pemba Wilaya ya Mkoani.
Mke wa Rais wa Zanzibar
Mama Mwanamwema Shein, Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Asha Suleiman Balozi
wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe Omar Khamis wakati wa hafla
hiyo.
Mke wa Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman, akitowa nasaha zake wakati wa hafla ya
kukabidhi vifaa vya afya kwa Chumba cha Wazazi katika Kituo cha Afya Bogowa
Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba.
Wananchi wa Kijiji cha
Mkanyageni wakifuatilia hafla hio ya kukabidhi vifaa vya afya kwa ajili ya
chumba cha Wazazi katika Kituo cha Afya Bogowa Mkanyageni Wilaya ya Mkoani
Pemba.
Naibu Waziri wa Afya
Zanzibar Mhe Harusi Said Suleiman akizungumza kabla ya kumkaribisha Mke wa Rais
wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, kuzungumza na Wananchi wa Jimbo la
Mkanyageni wakati wa kukabidhi Vifaa vya Afya kwa ajili ya Chumba cha Wazazi
katika Kituo hicho.
Mke wa Rais wa Zanzibar
Mama Mwanamwema Shein, akiwahutubia Wananchi wa Kijiji cha Mkanyageni wakati wa
hafla ya kukabidhi Vifaa vya Afya katika Kituo cha Bogowa Mkanyageni kwa ajili
ya Wazazi wanaofika katika Kituo hicho kuja kujifungua.
Wananchi wa Kijiji cha
Mkanyageni wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,
akizungumza na wananchi hao na kutowa nasaha zake kabla ya kukabidhi vifaa vya
afya kwa chumba cha wazazi katika kituo cha Afya Bogowa Mkanygeni Pemba.
Mke wa Rais wa Zanzibar
Mama Mwanamwema Shein, akikabidhi mashuka kwa Muuguzi Mkuu wa Afya na Jamii wa
Kituo cha Afya Bogowa Bi. Moza Mohammed Ali, kushoto Mke wa Makamu wa Pili wa
Rais Mama Asha Suleiman, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Kituo cha
Afya Bogowa Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba.
Mke wa Rais wa Zanzibar
Mama Mwanamwema Shein, akikabidhi mashine ya kupimia Sukari katika Kituo hicho
kwa Muuguzi Mkuu wa Afya na Jamii wa Kituo cha Afya Bogowa Bi. Moza Mohammed
Ali, kushoto Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Asha Suleiman, hafla hiyo
imefanyika katika viwanja vya Kituo cha Afya Bogowa Mkanyageni Wilaya ya Mkoani
Pemba.
No comments:
Post a Comment