LOCATION
Uzinduzi
huu utafanyika katika Ukumbi wa Kanisa la Kianglikana Nguvumali Tanga siku ya
Jumatatu ya Pasaka tarehe 17/4/2017 kuanzia saa 8:00 mchana.
SEKI & SO Pictures
Hii
ndio Kampuni iliyosimamia matengenezo Video ya Albamu hiyo chini ya Director
ajulikanaye kwa jina la Hassani Makero a.k.a Makero Jr.
Wote Mnakaribishwa!!
No comments:
Post a Comment