AFISA Mdhamini wizara ya nchi afisi ya
rais, Katiba, Sharia, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Pemba, Massoud Ali
Mohamed, akitoa neno la shukuran, mara baada ya Naibu Katibu Mkuu wake, kutoa
hutuba ya ufunguzi, kwenye mkutano wa kuwasilisha rasimu ya sheria ya serikali
mtandao, uliofanyika ukumbi wa Maktaba Chakechake Pemba.
BAADHI ya
wataalamu wa kompyuta na maofisa sheria, kutoka taasisi na mashirika ya umma
kisiwani Pemba, wakisikiliza uwasilishaji wa rasimu ya sheria ya serikali
mtandao ‘E-Government’ kwenye mkutano uliofanyika ukumbi wa
Maktba Chakechake, mkutano huo ulitayarishwa na Idara ya serikali mtandao
Zanzibar.
BAADHI ya
wataalamu wa kompyuta na maofisa sheria, kutoka taasisi na mashirika ya umma
kisiwani Pemba, wakisikiliza uwasilishaji wa rasimu ya sheria ya serikali
mtandao ‘E-Government’ kwenye mkutano uliofanyika ukumbi wa Maktaba
Chakechake, mkutano huo ulitayarishwa na Idara ya serikali mtandao Zanzibar.
MKURUGENZI Idara serikali mtandao Zanzibar
Shaaban Haji Chumu, akielezea namna ilivyopatikana rasimu ya sheria ya serikali
mtandao, kwa maofisa sheria na wataalamu wa kompyuta, kutoka taasisi na
mashirika ya umma Kisiwani Pemba, mkutano huo ulifanyika ukumbi wa maktaba
Chakechake Pemba.
NAIBU Katibu
mkuu anaeshughulia Utumishi wa Umma Zanzibar Seif Shaaban Mwinyi, akifungua
mkutano wa uwasilishwaji wa rasimu ya sheria ya serikali mtandao, kwa maofisa
sheria na wataalamu wa kompyuta, kutoa taasisi za serikali na kufanyika ukumbi
wa Maktaba Chakechake Pemba.
No comments:
Post a Comment