MKUU
wa Wilaya ya Micheweni Kisiwani Pemba, Mhe:Abid Juma Ali akizungumza na wajumbe
wa bodi ya ZBS Zanzibar, wakati wajumbe wa bodi hiyo wakati walipofika
Kutambulisha uwepo wa bodi hiyo.
AFISA mdhamini Wizara ya Biashara, Viwanda
na Masoko Pemba, Abdalla Juma Khamis, akiwatamulisha wajumbe wa Taasisi ya
Viwango Zanzibar (ZBS), wakati walipotembelea taasisi za serikali kuitambulisha
ZBS Kisiwani Pemba.
MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mhe Omar
Khamis Othman, akizungumza na wajumbe wa Bodi ya ZBS wakati walipofika
kuitambulisha bodi hiyo huko Wete.
MWENYEKITI wa bodi ya Taasisi ya Viwango
Zanzibar, Profesa Ali Seif Mshamba(Wakwanza kulia) akitoa taarifa ya bodi ya
ZBS wakati wajumbe wa bodi hiyo walipowasili katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa
Kaskazini Pemba.
MKUU wa Wilaya ya Wete Mhe Rashid Khadid
Rashid, akizungumza na wajumbe wa Bodi ya ZBS, wakati wajumbe wa bodi hiyo
walipofika kuitambulisha bodi ya ZBS kwa viongozi wa taasisi za Serikali Pemba.
MKURUGENZI wa ZBS Zanzibar Khatib Mwadin
Khatib, akizungumza katika mkutano wa wajumbe wa bodi hiyo na viongozi wa
Serikali ya Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati wajumbe wa bodi hiyo walipofika
kutambulisha uwepo wa bodi hiyo.
WAJUMBE wa Bodi ya ZBS Zanzibar, wakiwa
katika picha ya Pamoja na Viongozi wa Serikali ya Mkoa wa Kaskazini Pemba, mara
baada ya wajumbe hao kumaliza kikao cha pamoja huko Wete.
No comments:
Post a Comment