Mwakilishi wa Benki ya Barclays, Rajabu Abdallah (kulia), akichagua tiketi katika hafla ya utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’ itakayoshirikisha timu za mpira wa miguu na kikapu kutoka katika benki zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inatarajiwa kuanzia tarehe 01- julai mwaka huu. Hafla ya utambulisho wa ligi hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.iKushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki hizo; Richard Mwalwiba wa NMB, na Mratibu wa mashindano hayo Raymond Bunyinyiga.
Mwakilishi wa Benki ya UBA,Vitalis Bosha (kulia), akichagua tiketi katika hafla ya utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’ itakayoshirikisha timu zampira wa miguu kutoka katika benki zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Kushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki hizo; Mratibu wa mashindano hayo Raymond Bunyinyiga, Iddi Yakoub wa DTB.
Mratibu na Mwanzilishi wa Ligi ya Mabenki iliyo pewa jina la Brazuka Kibenki Raymond Bunyinyiga wa pili (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’ itakayoshirikisha timu zampira wa miguu kutoka katika benki zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inatarajiwa kuanzia tarehe 01- julai mwaka huu. Hafla ya utambulisho wa ligi hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Wengine pichani ni baadhi ya wawakilishi wa Benki hizo.
Mratibu na Mwanzilishi wa Ligi ya Mabenki ya Brazuka Kibenki, Raymond Bunyinyiga wa pili (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya utambulisho wa ligi hiyo. Kushoto ni mwakilishi wa Benki ya NMB, Richard Mwalwiba na mwakilishi wa DTB, Iddi Yakoub.
Mwakilishi na timu kampteni wa Benki ya Barclays Tanzania Rajabu Abdallah (wa tatu kushoto) akizungumza na waandishi wa habari katika hafla hiyo. Kushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki hizo; Raymond Bunyinyiga wa Barclays, Iddi Yakoub wa DTB, mwakilishi wa Exim Benki Mikidadi Ngoma (kulia) na wa pili kulia ni Richard Mwalwiba kutoka NMB.
Mwakilishi na timu kampteni wa Benki ya Exim, Mikidadi Ngoma wa tatu (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya utambulisho wa Ligi ya Brazuka Kibenki jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Wengine kutoka kushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki hizo; Raymond Bunyinyiga Barclays, Iddi Yakoub wa DTB, mwakilishi wa Exim Benki, Mikidadi Ngoma (kulia) na wa pili kulia ni Richard Mwalwiba wa NMB.
No comments:
Post a Comment