Kupitia IG yake yenye mashabiki milioni 3.6 wanaofuatilia maisha
na kazi zake, Diamond
Platnumz ‘SIMBA‘ Anasema
picha yake bora zaidi mwka 2017 ni hii akiwa na mpenzi /mama watoto wake Zari
Da Boss Lady .
“My Picture of the Year!…mnh basi kwa kudeka @zarithebosslady”


No comments:
Post a Comment