Wakongwe wa filamu Marekani Jackie
Chan na Sylvester Stallone wametajwa kufanya filamu pamoja, Ex-Baghdad,
itakuwa filamu ya Action itakayoongozwa na Scott Waugh ikiwa na bajeti ya dola
milioni $80 million.
Filamu hii ni miongoni mwa
filamu zenye bajeti kubwa kuwahi kutoka nchini China, Jackie Chan atakuwa Producer wa filamu hii.
Hii itakuwa mara ya kwanza Jackie Chan na Stalone wanafanya filamu ya pamoja.

No comments:
Post a Comment