Baada ya picha yao pamoja
kuibua tetesi kuwa ni wapenzi kutokana na ZERO DISTANCE kati yao, rapa wa Young Money Nicki
Minaj amekanusha tetesi hizi..
Kupitia twitter Nicki
Minaj aliulizwa
na shabiki kama anatoka na Nas, jibu lake halikuwa moa kwa moja HAPANA ila
alihakikisha shabiki huyo anajua kuwa hizi ni TETESI tu
na sio kweli.
Wiki hii wawili hawa
waliongelewa kama COUPLE mpya kwenye hiphop baada ya post ya Minaj kusema “Only KINGS recognize QUEENS,”
Nicki Minaj aliachana na Meek
Mill December mwaka jana.

No comments:
Post a Comment