Bondia maarufu Floyd
Mayweather amesema bila baba yake asingepata mafanikio
makubwa kwenye mchezo wa ngumi.
Floyd Mayweather na
baba yake Floyd
Sr wamekuwa
na uhasama kwa muda mrefu uliopelekea baba yake kufundisha mabondia
waliopambana na kumtwanga mtoto wake.
Floyd Mayweather amekuwa mkubwa sasa na amekiri kuwa
baba yake ndio chanzo cha mafanikio yake “all
the thanks to my dad.”

No comments:
Post a Comment