Mtaalamu wa Mawasiliano nchini,
Innocent Mungy akiwasilisha mada kwenye kongamano la Maadhimisho ya Siku ya
Uhuru wa Vyombo vya Habari 2017 linalofanyika jijini Mwanza. Kongamano hilo
lililoanza leo Mai 2, 2017 linamalizika kesho Mei 3.
Mkurugenzi
wa Wakfu wa Vyombo vya Habari nchini 'TMF', Ernest Sungura akiwasilisha mada
kwenye kongamano la maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2017
linalofanyika jijini Mwanza.
Baadhi
ya wanataaluma ya habari na wadau anuai wa vyombo vya habari wakiwa kwenye

Mmiliki
wa Kampuni ya Sahara Media Group, Antony Diallo akichangia hoja kwenye
kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2017
linalofanyika jijini Mwanza. Kongamano hilo lililoanza leo Mai 2, 2017
linamalizika kesho Mei 3.
Baadhi
ya wanataaluma ya habari na wadau anuai wa vyombo vya habari wakiwa kwenye
kwenye kongamano la maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2017
linalofanyika jijini Mwanza.
Baadhi
ya wanataaluma ya habari na wadau anuai wa vyombo vya habari wakiwa kwenye
kwenye kongamano la maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2017
linalofanyika jijini Mwanza.
Mwenyekiti
wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika-Tanzania, Salome Kitomari
akifuatilia mijadala mbalimbali kwenye kongamano la maadhimisho ya Siku ya
Uhuru wa Vyombo vya Habari 2017 linalofanyika jijini Mwanza. Kongamano hilo
lililoanza leo Mai 2, 2017 linamalizika kesho Mei 3 linashirikisha wanataaluma
ya habari na wadau anuai wa vyombo vya habari.
Baadhi
ya wanataaluma ya habari na wadau anuai wa vyombo vya habari wakiwa kwenye
kwenye kongamano la maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2017
linalofanyika jijini Mwanza
No comments:
Post a Comment