Kwa anaeguswa na mtoto huyu anaweza
kuwasiliana na mama yake kwa namba hii 0766 350 664
Mama mzazi, Jafara Hussein mkazi wa
Arusha akionyesha macho na mdomo wa mtoto wake, Omari Mayunga (11) katika ofisi
ya Wor’Out Media, Tanga ambaye amedai
alizaliwa na kupata matatizo ya
macho yakiwa nje pamoja mdomo ukiwa na uvimbe ndani na nje.
No comments:
Post a Comment