Wor’Out Media inawatakia kila heri WaisLamu
wote Ulimwenguni Funga hii na Fanaka na kuweza kutimiza malengo yao ikiwemo
kusamehewa madhambi yao pamoja kuzidisha mshikamano miongoni mwao.
Ustadhi Yussuf Said Bwazo akisoma Quraan
Msikiti wa Answar barabara ya 6 Ngamiani Tanga, Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani
kwa Waislamu wengi husoma kitabu hicho.
Naibu Katibu Mkuu Chuo cha Tamta Tanga, Sheikh
Yakub Ridhwani Pera akimfundisha kusoma Quraan, mtoto Hadhuruni Hajj. Mwezi
Mtukufu wa Ramadhani kwa Waislamu ni mwezi wa Ibada na wenye ujira mkubwa na
Waislamu wengi husoma Quraan.
Waumini wa Dini ya Kiislamu Masjid Nuur barabara
ya 14 Ngamiani Tanga, wakichagua kanzu ikiwa ni maandalizi ya Mwezi Mtukufu wa
Ramadhani ambao umeanza jana.
No comments:
Post a Comment