Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais -
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi akizungumza na
Wataalam wa kujitolea kutoka Japani waliokuja kutoa huduma nchini wakati wa
hafla fupi ya kuwakaribisha Wataalam hao iliyofanyika Ofisi ya Rais-Utumishi leo.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais -
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi akiwa katika
picha ya pamoja na Wataalam wa kujitolea kutoka Japani waliokuja kutoa huduma
nchini.
Naibu Katibu Mkuu,
Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Susan
Mlawi akizungumza na Mwakilishi
Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo Japani (JICA) nchini, Bw. Toshio
Nagase mara baada ya hafla fupi ya
kuwakaribisha Wataalam wa kujitolea kutoka Japani waliokuja kutoa huduma nchini.
No comments:
Post a Comment