Maafisa wa polisi
watatu wanaripotiwa kuuawa, ingawa bado haijafahamia vifo hivyo vimetokeaje.
Tukio hilo limetokea
kufuatia mabishano yaliyotokea katika wanajeshi hao wa majini na maafisa wa
polisi.
Ripoti zaidi
zinasema maafisa hao wa jeshi la maji walirudi tena katika eneo hilo wakiwa
wamejiimarisha zaidi na kuanza kushambulia kituo cha polisi, na baadaye
kukichoma moto.
No comments:
Post a Comment