Terry Selwood mwenye umri wa miaka 73 aliacha maelezo kwenye
ofisi zao zilizopo New South Wales, kama ilivyo kawaida pindi mnyama anapotoka
mwenyewe kwenye maji.
Selwood anasema papa huyo alikuwa na urefu wa mita 2.7 na
aliingia kwenye boti lake lenye urefu wa mita tano na kumjeruhi kwa kutumia
sehemu yake ya upanga.
Selwood aliokolewa mara baada ya kupiga kelele za kuomba msaada.
''Nilipoteza damu nyingi, nilipata mshtuko na kupoteza fahamu na
kumfikiria Mungu. Siamini kama nimetoka nikiwa hai,'' alieleza Selwwod kwenye
chombo cha habari cha Australia, Australian Broadcasting Corp (ABC).
No comments:
Post a Comment