Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii nchini Jaji Thomas
Mihayo akizungumza katika mkutano mfupi uliofanyika katika Stesheni ya Tazara
jijini Dar es Salaam
Baadhi ya Wasanii hao Nyota wakiwasili katika
Stesheni ya TAZARA Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe Rashid Ali Juma akizungumza wakati wa kuwakaribisha wasanii hao nyota kutoka nchini China.
Muongoazaji wa filamu ya siri za familia akitoa
Salamu za Wasanii hapa nchini
Wasanii hao Nyota wakiwa wameketi kwa pamoja
wakati wa mkutano
Wasanii hao wakiwa katika kurekodi sehemu ya
vipindi vitakavyorushwa katika cheneli za nchini China
Baadhi ya watali hao wakiwa wamekaa katika Vibalaza
vya Stesheni ya Tazara
Wasani wa filamu nchini wakibadilishana mawasiliano
na muongozaji wa kundi la wapiga picha na waandishi kutoka nchini China
Mwakilishi wa kabila la Wadzabe akionyesha namna ya
kutumia upinde kwa wasani nyota kutoka nchini China
Sehemu ya wapiga picha waliongozana na Wasanii hao
nyota kutoka nchini China
Mmoja wa wapiga picha kutoka nchini China akirekodi
wakati treni lilipo fanya ruti fupi mpaka Yombo na kurudi
Sehemu ya Wasanii nyota wakiwa ndani ya treni
Kundi la Wasaniihao na wapiga picha wakiwa ndani ya
Treni ya Tazara wakirekodi kipindi na kufanya majadiliano
Baadhi ya watali hao wakipiga picha za ukumbusho
Mmoja wa watali hao akishiriki kupiga ngoma za asili
No comments:
Post a Comment