Meneja
wa wasanii wa Bongo fleva maarufu kwa jina la Meneja Maneno, amefunguka wapo
wasanii wengi Bongo wanaamini ushirikina na kukiri kuwa wapo wasanii wengine
mwenyewe aliwapeleka kwa waganga wa kienyeji kwa ajili ya kuroga.
Meneja
Maneno aliyewahi kuwa meneja wa Daimond platnum, Sam wa ukweli, Nay wa mitego,
na Rich mavoko, amefunguka hayo kupitia kipindi cha planet bongo ya Est Africa
kuwataja wasanii ambao aliwahi kuwapeleka kwa waganga
na ambao wanaamini sana pamoja na #Rich_mavoko,#Sam_wa_ukweli huku
akisema katika wote #Diamond_platnum zaidi yao.
Ndele
nisehemu ambayo baadhi ya wasanii wana amini sana lakini mimi naamini mungu
akisema yes ujue yes mungu akisema no atauwende wap kazi bure.
Nakumbuka wasanii ambao nilikwenda nao kwa waganga kuroga pamoja na Rich _mavoko tulienda mbali kabisa huko kigamboni ndani ndani huko tumeenda ndugi yangu nilisharusha nazi katikati yani usiku ule unajifanya chizi kama umevurugwa.
Ameongeza kusema Diamond
platnum ndio alikua balaa kanisumbua sana mala leo tupeleke unga kesho tupeleke
kuku mala leo nimeambiwa niende nikachimbe dawa usiku yani daimond alikua kila
kitu anachofanya lazima aweke ushirikina mpaka ilikua karaha kwangu mana alikua
ananisumbua mala gari yake leo awashe ubani ila minamshukuru Mungu imani hiyo
nilikua sina mimi nilikua na wasindikiza tu.
No comments:
Post a Comment