Meneja Mkuu
Idara ya Masoko kiwanda cha saruji cha Rhino Tanga, William Malonza, akimuonyesha
moja ya bidhaa zizalishwazo na kiwanda hicho, Waziri wa Viwanda na Biashara,
Chales Mwijage, wakati wa maonyesho ya tano ya Kimataifa ya biashara
yanayofanyika katika viwanja vya Mwahako Tanga.
Waziri wa viwanda na
Biashara, Chales Mwijage, akibadilishana mawazo na Meneja Mkuu Idara ya Masoko
kiwanda cha Saruji cha Rhino Tanga, William Malonza wakati wa ufunguzi wa
maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika Tanga.
Waziri wa Viwanda na
Biashara, Chales Mwijage, akisalimiana na Afisa Masoko kiwanda cha saruji cha Rhino Tanga,
Carolina Hillary wakati alipotembelea banda la maonyesho ya tano ya Kimataifa
yalifunguliwa jana Tanga katika viwanja vya maonyesho Mwahako.
Waziri wa Viwanda na
Biashara, Chales Mwijaga akipata maelekezo ya namna mkonge unavyoweza
kutengeneza dawa pamoja na mafuta aina mbalimbali.
Simba ni moja katika
wanyama ambao wameletwa kwa ajili ya maonyesho Tanga
Wakazi wa Tanga
wakiangalia Kobe ambaye ni moja ya vivutio katika maonyesho ya tano ya
Kimataifa yanayofanyika Tanga.
No comments:
Post a Comment