Waendesha mashtaka wamedai kuwa kodi
iliyokwepwa ni kuanzia mwaka 2011 mpaka 2014 na inahusu mapato ya nje ya uwanja
na haki za picha zake.
Mwezi Desemba, nyaraka zilizovuja
zilieleza kuwa Cristiano
Ronaldo amekwepa kodi kutokana na kipato chake kuwekwa kwenye
akaunti za nje ya Hispania.
Ronaldo amekana shutuma hizo na msemaji
wa wakala wa mchezaji huyo alisema mwezi uliopita kuwa mchezaji huyo hakuwa na
chochote cha kuficha.
No comments:
Post a Comment