Baadhi ya wanafunzi waliohudhulia hafla hiyo na baadhi yao wameibuka washindi katika mitihani yao ambayo, katika mashindano hayo wanafunzi 45 walishiriki.
Mwanafuzi wa Darasa la nne katika Shule ya Msingi ya Junior iliyoko Mzumbe Morogoro Jackline Bahasha, akivalishwa Medali ya ufahulu wa jumla na Meneja wa Mauzo na Masoko wa New Habari 2006, Mrs Rehema Ahmed.
Mwanafunzi wa Darasa la nne katika Shule ya Msingi ya Diamond iliyoko Dar es Salaam Abdusalaam Selemani, akivalishwa Medali ya ufahulu wa jumla na Meneja wa Mauzo na Masoko wa New Habari 2006, Mrs Rehema Ahmed.
Mwanafunzi wa Darasa la nne katika Shule ya Msingi ya Tigohane iliyoko Wilaya ia Ilala Dar es Salaam Brian Msangi, akipokea Ngao ya ushindi kwa kuongoza kwa masomo yote katika shule zilizoshindanishwa na Meneja wa Mauzo na Masoko wa New Habari 2006, Mrs Rehema Ahmed.
Mwanafunzi wa Darasa la sita katika Shule ya Msingi ya Dominic Savio ya Iringa, Gloria Castro, akipokea Ngao ya ushindi kwa kuongoza kwa masomo yote katika shule zilizoshindanishwa katika masomo ya darasa la sita na Meneja wa Mauzo na Masoko wa New Habari 2006, Mrs Rehema Ahmed. Mashindano hayo yalioanzishwa na Mradi wa Teachers Juction.
Mwalimu wa Taaluma wa Shule ya Sekondari ya wavulana Sullivan Provost, Felix Kavishe akizungumza na walimu wazazi pamoja na wanafunzi kwaniaba ya Mkuu wa shule hiyo Mr Alex Nicholaus wakati wa sherehe za kutoa tuzo kwa wanafunzi wa Darasa la sita na la nne waliofanya vizuri ikiwa shule ya Sullivan ilikuwa wadhamini wakuu ambapo waliandaa Ngao kwaajili ya darasa la sita katika mashindano hayo wanafunzi 45 walishiriki mashindano hayo yalioanzishwa na Mradi wa Teachers Juction.
Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya wavulana Sullivan Provost, akitoa neno kwa wanafunzi waliohudhulia mashindano hayo nakuwasihi kama wakitaka kuendelea vizuri na ufaulu wao basi wachague shule ya Sullivan kwaajili ya kupata elimu bora.mashindano hayo yalioanzishwa na Mradi wa Teachers Juction.
Afisa Mradi wa Teachers Juction Njama Salum akizungumza wakati wa hafla hiyo ambapo wanafunzi 45 walishiriki mashindano hayomashindano hayo yalioanzishwa na Mradi wa Teachers Juction.
Mkuu wa Shule ya Msingi Tigohane iliyoko Wilaya ia Ilala Dar es Salaam Meleck Macha alielala chini, akibubujikwa na machozi baada yakutangazwa kuwa Mwanafunzi wa shuleyake Brian Msangi, ameibuka kidedea nakujinyakulia Ngao ya ufaulu katika mitihani yote kwa darasa la nne. ambapo wanafunzi 45 walishiriki mashindano hayomashindano hayo yalioanzishwa na Mradi wa Teachers Juction.
Mkuu wa Shule ya Msingi ya Dominic Savio Sister Beatrice Kapinga, Iringa, akitoa neno la shurani kwa uongozi wa Shule ya Sekondari ya wavulana Sullivan Provost, kwakuona umuhimu wa mashindano hayo na kuandaa ngao hiyo kwa wanafunzi wa darasa la sita ambayo shule ya Dominic Savio ndio imenyakua ngao hiyo kupitia mwananzi wake Gloria Castro, ameibuka kidedea nakujinyakulia Ngao ya ufaulu katika mitihani yote kwa darasa la sita, ambapo wanafunzi 45 kutoka shule mbalimbali walishiriki mashindano hayo. Mashindano ambayo yameanzishwa na Mradi wa Teachers Juction.
No comments:
Post a Comment