Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Wanawake wa Kiislam Tanzania TAQWA Dkt.Salha Mohammed Kassim akizungumza na Wananchi na Walezo wa Watoto Yatima wa wanaolelewa na Jumuiya ya Tahafidhi Qur-an na Maendeleo ya Kiislam Ole Kisiwani Pemba.
Mkurugenzi Mtendaji
Wa Taasisi ya TAQWA Tanzania Dkt Salha Mohamed Kassim, akimkabidhi mafuta mmoja
ya watoto mayatima Kisiwani Pemba, ambapo zaidi ya kaya 400 zimepatiwa futari
hiyo
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya TAQWA Tanzania, Dkt Salha Mohamed Kassim akimkabidhi futari mmoja
ya wazee wanao lea watoto Mayatima Kisiwani Pemba, ambapo kaya zaidi ya 400
zimepatiwa futari hiyo
VIONGOZI wa Taasisi
ya Wanawake waislamu Tanzania TAQWA, wakimuombea dua mmoja wa waasisi wa
taasisi ya Tahafidhi Quran na Maendeleo ya Kiislamu Ole, Abdalla Mohamed Kassim
ambaye kwa sasa ni Mgonjwa
MOJA ya Gari ya
Abiria ikipakia futaria za watoto mayatima iliyotolewa na Taasisi ya TAQWA
Tanzania, ambapo zaidi ya kaya 400 zimepatiwa futari hiyo
No comments:
Post a Comment