Walimu wakiipitia kwa umakini rasimu hiyo mchakato wa kuirekebisha Katiba
Walimu wakiipitia kwa umakini rasimu hiyo mchakato wa kuirekebisha Katiba
Katibu wa CWT Meatu ndugu Emmanuel Ledio akiwaelimisha wajumbe kuhusu ukusanyaji wa maoni ya kurekebisha Katiba hiyo.
Mwenyekiti wa CWT Meatu ndugu Rhobiri Zakaria wakwanza kutoka kulia akiongoza mjadala wa wawakilishi ngazi ya shule kuhusu mchakato wa marekebisho ya Katiba.
Katibu wa CWT Meatu ndugu Emmanuel Ledio akionyesha washiriki muhtasari wa kikao cha Benki ya Mwalimu.
Mwalimu Helen Kiraka mwakilishi wa shule ya msingi Mwakisandu B akitoa maoni kuhusu ukusanyaji wa maoni ya kurekebisha Katiba hiyo.
Mwalimu Langson Simon mwakilishi wa shule ya sekondari Lingeka akitoa maoni kuhusu ukusanyaji wa maoni ya kurekebisha Katiba hiyo.
Mwalimu Bakari Lusupi akitoa maoni kuhusu ukusanyaji wa maoni ya kurekebisha Katiba hiyo.
Mwalimu Abdul Nyaigeshi mwakilishi wa shule ya msingi Mwakaluba akitoa maoni kuhusu ukusanyaji wa maoni ya kurekebisha Katiba hiyo.
Katibu wa Mbunge wa jimbo la Kisesa Mhe. Tumaini Kazoba alitumia fursa hiyo kuongea na walimu kuhusu maendeleo ya elimu.
Mwalimu Linus William, akipokea cheti cha umiliki wa hisa katika benki ya Mwalimu (MCB).
Mwalimu Deusdedit Martin, afisa elimu kata ya Mwakisandu akigawa vyeti vya umiliki wa hisa katika benki ya Mwalimu (MCB).
Aidha mwenyekiti wa CWT wilayani Meatu, ndugu Rhobiri Zakaria amewataka walimu kuendelea kuwa na ushirikiano katika kuendesha masuala ya chama chao ambapo aliwaomba kutokubali kurubuniwa na baadhi ya watu wenye nia ya kuvunja mshikamano wa walimu nchini. (Picha Juma Mbonde-Simiyu)
No comments:
Post a Comment