Waziri wa mifugo na uvuvi, Mhe.Luhaga Mpina akiongea na wafugaji wa wilaya ya Meatu, mkoani Simiyu.
Wananchi mbalimbali walipata nafasi ya kumuuliza maswali Waziri na Mbunge juu ya ahadi za serikali na mbunge kwa ujumla.
Waziri wa mifugo na uvuvi, Mhe.Luhaga Mpina akijibu hoja za wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Mwakaluba.
Waziri wa mifugo na uvuvi, Mhe.Luhaga Mpina akiongoza zoezi la uogeshaji wa mifugo lililofanyika katika Josho lililopo katika Kijiji cha Mwakaluba, kata ya Mwandoya.
Waziri wa mifugo na uvuvi, Mhe.Luhaga Mpina akiongoza zoezi la uogeshaji wa mifugo lililofanyika katika Josho lililopo katika Kijiji cha Mwakaluba, kata ya Mwandoya.
Waziri wa mifugo na uvuvi, Mhe.Luhaga Mpina akikagua miradi ya vikundi vya wajasiliamali ambao walinufaika na ufadhili wa ofisi ya mbunge jimbo la Kisesa wilayani Meatu kwakupewa vitendeakazi.
Waziri wa mifugo na uvuvi, Mhe.Luhaga Mpina akikagua miradi ya vikundi vya wajasiliamali ambao walinufaika na ufadhili wa ofisi ya mbunge jimbo la Kisesa wilayani Meatu kwakupewa vitendeakazi.
Waziri wa mifugo na uvuvi, Mhe.Luhaga Mpina akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya sekondari Sakasaka.
Waziri wa mifugo na uvuvi, Mhe.Luhaga Mpina akisikiliza changamoto mbalimbali wazipitiazo wanafunzi wa shule ya sekondari Sakasaka.
Waziri wa mifugo na uvuvi, Mhe.Luhaga Mpina akipitia taarifa na kukagua mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari pamoja na nyumba moja ya walimu wawili katika kijiji cha Mwakisandu. Ambapo uwepo wa shule hiyo unatarajiwa kupunguza adha ya watoto kutembea umbali mrefu wa takribani kilometa10 kila siku kuelekea katika shule zilizoko jirani na kata ya Mwakisandu.
Picha na Juma Mbonde - Simiyu
No comments:
Post a Comment