Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina (kushoto) akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka wakati wakiwa katika Harambee ya Ujenzi wa Bweni la Wasichana katika Shule ya Sekondari Mwanjolo wilayani Meatu, ambayo ilifanyika Agosti 31, 2018 shuleni hapo.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka akichangia katika Harambee ya Ujenzi wa Bweni la Wasichana katika Shule ya Sekondari Mwanjolo wilayani Meatu, ambayo ilifanyika Agosti 31, 2018 shuleni hapo.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kisesa wilayani Meatu, Mhe. Luhaga Mpina akichangia katika Harambee ya Ujenzi wa Bweni la Wasichana katika Shule ya Sekondari Mwanjolo wilayani Meatu , ambayo ilifanyika Agosti 31, 2018 shuleni hapo.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu, Mhe. Pius Machungwa akipokea michango kutoka kwa Madiwani na baadhi ya watendaji wa Halmashauri hiyo katika Harambee ya Ujenzi wa Bweni la Wasichana katika Shule ya Sekondari Mwanjolo wilayani Meatu , ambayo ilifanyika Agosti 31, 2018 shuleni hapo.
Baadhi ya Wananchi wa Kata ya Mwanjolo wakichangia fedha katika Harambee ya Ujenzi wa Bweni la Wasichana katika Shule ya Sekondari Mwanjolo wilayani Meatu, ambayo ilifanyika Agosti 31, 2018 shuleni hapo.
Baadhi ya Wanafunzi wa kike wa Shule ya Sekondari Mwanjolo wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi walioshiriki katika Harambee ya Ujenzi wa Bweni la Wasichana katika Shule ya Sekondari Mwanjolo wilayani Meatu, ambayo ilifanyika Agosti 31, 2018 shuleni hapo.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka (kushoto) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Meatu, Mhe. Dkt. Joseph Chilongani wakati wakiwa katika Harambee ya Ujenzi wa Bweni la Wasichana katika Shule ya Sekondari Mwanjolo wilayani Meatu, ambayo ilifanyika Agosti 31, 2018 shuleni hapo.
Mkuu Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka akiwaelezea viongozi wa kata ya Mwanjolo mbele ya wananchi na namna walivyofanikisha Harambee ya Ujenzi wa Bweni la Wasichana katika Shule ya Sekondari Mwanjolo wilayani Meatu, ambayo ilifanyika Agosti 31, 2018 shuleni hapo, (kushoto) Afisa Mtendaji wa Kata ya Mwanjolo, Bw.Abel Mpina,(wa pili kulia) Diwani wa Viti Maalum Kata ya Mwanjolo, Mhe. Consolata Lushu na kulia ni Diwani wa Kata ya Mwanjolo, Mhe. Jeremiah Jilya.
No comments:
Post a Comment