Baadhi ya wafanyakazi wa Tigo Mkoa
wa Iringa wakiwa katika picha ya pamoja na Wakala wa huduma ya Tigo Pesa Shine
Murtazah ambaye ni mmoja kati washindi wawili wa kanda hiyo waliojishindia
zawadi za fedha taslimu kwenye promosheni ya ‘Cash In’ iliyomalizika mwishoni
mwa mwezi Machi. Tigo imetoa zawadi za fedha taslimu zenye thamani ya Tshs 1m/-
kwa Mawakala wa Tigo Pesa nchi nzima.
Meneja wa Tigo kanda ya Kusini
Mashariki Abbas Abdulrahman akiagana na na Wakala wa huduma ya Tigo Pesa Shine
Murtazah wa Iringa ambaye ni mmoja kati washindi wawili wa kanda hiyo
waliojishindia zawadi za fedha taslimu kwenye promosheni ya ‘Cash In’
iliyomalizika mwishoni mwa mwezi Machi. Tigo imetoa zawadi za fedha taslimu
zenye thamani ya Tshs 1m/- kwa Mawakala wa Tigo Pesa nchi nzima.
Meneja wa Tigo kanda ya Kusini
Mashariki Abbas Abdulrahman (kulia) akiteta jambo na Wakala wa huduma ya Tigo
Pesa Shine Murtazah wa Iringa ambaye ni mmoja kati washindi wawili wa kanda
hiyo waliojishindia zawadi za fedha taslimu kwenye promosheni ya ‘Cash In’
iliyomalizika mwishoni mwa mwezi Machi. Tigo imetoa zawadi za fedha taslimu
zenye thamani ya Tshs 1m/- kwa Mawakala wa Tigo Pesa nchi nzima.
No comments:
Post a Comment