AZAM YACHEZEA KICHAPO MASHINDANO YA PROPHET SUGUYE CUP - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Tuesday, June 11, 2019

AZAM YACHEZEA KICHAPO MASHINDANO YA PROPHET SUGUYE CUP


Mshambuliaji wa Kivule Forest FC  Kissa kisa, akijaribu kumtoka Beki wa Azam Poly Sacks katika mchezo wa Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Kivule Forest imeibuka na ushindi wa 7-1 Mchezo huo umepigwa saa nane mchana  leo viwanjani hapo.
Wachezaji wa timu hizo wakiwania mpira wakati wa mchezo wa  Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Kivule Forest  imeibuka na ushindi wa 7-1 Mchezo huo umepigwa saa nane mchana  leo viwanjani hapo.
Mlinda mlango  wa Azam Poly Sacks akijaribu kuufuata  mpira dhidi ya mchezo wao na Kivule Forest  wakati wa mchezo wa  Ligi ya Prophet Suguye  Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Kivule Forest  imeibuka na ushindi wa 7-1 Mchezo huo umepigwa saa nane mchana  leo viwanjani hapo.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages