BENKI YA CRDB YATINGA BUNGENI JIJINI DODOMA LEO - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, June 13, 2019

BENKI YA CRDB YATINGA BUNGENI JIJINI DODOMA LEO

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akiwa ameambatana na Mwenyekiti wa Bodi wa Benki hiyo, Ally Laay (kulia) pamoja na Mjumbe wa Bodi, Abdul Mohamed (kushoto) wakati wakifuatilia hotuba ya mapendekezo ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2019/20 iliyokuwa ikiwasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango, leo juni 13, 2019.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akisoma kitabu cha hotuba ya mapendekezo ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2019/20 iliyokuwa ikiwasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango, leo juni 13, 2019.
Sehemu ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB pamoja na wageni wengine wakiwa kwenye ukumbi wa Bunge wakifuatilia hotuba ya mapendekezo ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2019/20 iliyokuwa ikiwasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango, leo juni 13, 2019.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages