TIMU YA JESHI WAPOTEANA MBELE YA RELINI FC MASHINDANO YA PROPHET SIGUYE CUP - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, June 13, 2019

TIMU YA JESHI WAPOTEANA MBELE YA RELINI FC MASHINDANO YA PROPHET SIGUYE CUP


Mlinda mlango  wa Relini FC,  Juma Athuman, akijaribu kuokoa shambulizi dhidi ya mchezo wao na Airwing FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Relini imeibuka kidedea kwa 2-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mlinda mlango  wa Airwing FC Mohamed Nassor, akishindwa kuokoa shambulizi dhidi ya mchezo wao na Relini FC, wakati wa mchezo wa  Ligi ya Prophet Suguye  Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Relini imeibuka kidedea kwa 2-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Relini FC Abuisa Moshi, akimtoka Beki wa kushoto wa Airwing FC, Yusuph Seif dhidi ya mchezo wao na Relini FC, wakati wa mchezo wa  Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Relini imeibuka kidedea kwa   2-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Relini FC, Steven Tiger, akirudisha mpira kwa mlinda mlango wake Juma Athuman, katika moja ya heka heka wakati wa mchezo wao na Airwing FC, katika Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanjabvya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la DaresSalaam ambapo timu ya Relini imeibuka kidedea kwa 2-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Wapenzi na Mashabiki wasoka wakiwa viwanjani kufuatilia mtanange huo
  Kikosi cha Airwing FC
Kikosi cha Relini FC

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages