Mshambuliaji
wa timu ya Magereza FC, Samson Mbangula (wapili kushoto), akijaribu kuwatoka mabeki
wa Professional FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet
Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje
kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Magereza imeibuka na ushindi wa
2-0. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Beki wa Professional FC, akiwania mpira na Mshambuliaji wa Magereza
FC, Samson Mbangula, wakati wakichuana katika mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shuleya Msingi Misitu Kivule, nje
kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu
ya Magereza imeibuka na ushindi wa 2-0. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani
hapo.
Mlinda mlango wa Professional FC, Aloyce
Ambrosi akijaribu kuokoa shambulizi dhidi ya mchezo wao na Magereza FC, wakati
wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja
vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo
timu ya Magereza imeibuka na ushindi wa 2-0. Mchezo huo umepigwa leo
viwanjani hapo.
Mlinda mlango wa Kitunda FC, Athuman
Gasa akijaribu kuokoa shambulizi dhidi ya mchezo wao na Tumaini FC, wakati wa
mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja
vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam timu hizo zilitoka kwa sale ya 1-1. Mchezo huo
umepigwa leo viwanjani hapo.
Wachezaji
wa timu hizo wakiwania mpira wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje
kidogo ya Jiji la DaresSalaam ambapo timu hizo zilitoka kwa sale ya 1-1
Mshambuliaji
wa Kitunda FC, akiambaa na mpira dhidi ya mchezo wao na Tumaini FC, wakati wa
mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja
vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam timu hizo zilitoka kwa sale ya 1-1. Mchezo huo
umepigwa leo viwanjani hapo.
No comments:
Post a Comment