Beki wa Kulia wa Timu ya Texas FC Ally Bakari (mwenye mpira),
akiwakabili washambuliaji wa Bodaboda Fc wakati wa mchezo wa Ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika
viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo katika
mchezo huoTexas iliibuka na ushindi wa 1-0 mchezo huo umepigwa leo viwanjani
hapo leo. Picha na Brian Peter
Mshambuliaji Timu ya Texas FC Pascal George, akipiga
tiktaka wakati wa mchezo wa Ligi ya PROPHET
SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo
ya Dar es Salaam ambapo timu hiyo ilikuwa ikichuana na Bodaboda Fc, ambapo katika
mchezo huo Texas iliibuka na ushindi wa 1-0 mchezo huo umepigwa leo viwanjani
hapo leo. Picha na Brian Peter
Golikipa wa timu ya Texas Fc Anyimike Malakimbugi, akiokoa moja ya shambulizi yaliyofanywa
na timu ya Bodaboda Fc wakati wa mchezo wa
Ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi
Misitu Kivule ambapo katika mchezo huo Texas iliibuka na ushindi wa 1-0 mchezo
huo umepigwa leo viwanjani hapo leo. Picha na Brian Peter
Mshambuliaji
machachali wa timu ya Texas Fc Rajabu Housen, akitaka kujaribu kumtoka mchezaji
wa Bodaboda Fc wakati wa mchezo wa Ligi
ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule
ambapo katika mchezo huo Texas iliibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Bodaboda Fc mchezo
huo umepigwa leo viwanjani hapo leo. Picha na Brian Peter
Beki wa Kulia wa Timu ya Texas FC Ally Bakari (mwenyempira),
akijaribu kumtoka mshambuliaji wa Bodaboda Fc Samson Anesmo, wakati wa mchezo
wa Ligi ya PROPHET SUGUYE CUP
inayoendelea katika viwanjavya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya DaresSalaam
ambapo katika mchezo huo Texas iliibuka na ushindi wa 1-0 mchezo huo umepigwa
leo viwanjani hapo leo.Picha na Brian Peter
Mchezaji wa Texas Fc Emanuel John akiwania mpira
wakati wa mchezo wa Ligi ya PROPHET
SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo
ya DaresSalaam ambapo katika mchezo huo Texas iliibuka na ushindi wa 1-0 mchezo
huo umepigwa leo viwanjani hapo leo. Picha na Brian Peter
Kikosi cha timu ya Bodaboda FC
Kikosi cha timu ya Texas FC
No comments:
Post a Comment