TIMU HIZI NDIO BALAA PROPHET SUGUYE CUP - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, June 27, 2019

TIMU HIZI NDIO BALAA PROPHET SUGUYE CUP


Mshambuliaji  wa timu ya Tumaini FC  Azizi Mussa, akijaribu kuwatoka mabeki wa Fair Play FC, wakati wa mchezo wa  Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Tumaini imeibuka na ushindi wa 3-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Wachezaji  wa timu ya Magereza FC na Miyosha FC, wakiwania mpiwa  wa  Miyosha wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Magereza imeibuka na ushindi wa 4-1.  Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Kiungo wa Tumaini FC Chongoro Jolvin akimtoka beki wa Fair Play FC wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Tumaini iliilaza  Home Boys kwa mabao 3-0  Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.

Winga wa kulia wa Mbondole FC Azam Banda, akijaribu kuwatoka Mabeki wa Kigamboni FC wakati wa mchezo wao katika Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Mbondole ilishinda 4-1  Mchezo huo umepigwa jana viwanjani hapo.
Mshambuliaji  wa timu ya Lord Eyes FC John Gisanta, akijaribu kumtoka beki wa Kivule Forest  FC, wakati wa mchezo wa  Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Kivule Forest  imeibuka na ushindi wa 1-0  Mchezo huo umepigwa jana viwanjani hapo.
Mlinda mlango wa Lord Eyes Chriss Julius akikamata mpira wakati wa mchezo wa  Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Kivule Forest  imeibuka na ushindi wa 1-0  Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Kivule Forest, akipiga mpira kwa kichwa ambao ulikwenda mpjakwamoja wavuni nakuiandikia timu hiyo bao la ushindi wakati wa mchezo wa  Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Kivule Forest  imeibuka na ushindi wa 1-0  Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages