VODACOM YAUNGA MKONO SERIKALI USAJILI WA ALAMA ZA VIDOLE - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Monday, August 26, 2019

demo-image

VODACOM YAUNGA MKONO SERIKALI USAJILI WA ALAMA ZA VIDOLE

Vodacom+na+Mama+Nyerere
Meneja wa Vodacom Tanzania Plc wilaya ya Kinondoni, Suleiman Amri akimsajili Mama Maria Nyerere kwa njia ya alama za vidole nyumbani kwake jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc inaendelea kuunga mkono zoezi hilo lililoainishwa na serikali na kuhamasisha watu wote kujisajili kwa njia ya alama za vidole ambayo ni ya haraka na haina gharama yeyote.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *