NAIBU SPIKA WA BARAZA LA WAWAKILISHI AJITOSA KUUTAKA URAIS WA ZANZIBAR - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Saturday, June 27, 2020

NAIBU SPIKA WA BARAZA LA WAWAKILISHI AJITOSA KUUTAKA URAIS WA ZANZIBAR

Katibu wa NEC idara ya Oganaizesheni CCM Zanzibar Cassian Galos Nyimbo Akimkabidhi Mkoba wenye Fomu za kuomba ridhaa ya kugombea Urais kupitia Chama hicho Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mgeni Hassan Juma katika Ofisi za CCM zilizopo Kisiwandui, Zanzibar.
Mtia nia ya kugombea nafasi ya kiti cha Urais Vsiwani Zanzibar Mgeni Hassan Juma akionyesha mkoba uliohifadhiwa fomu za kugombea Urais, Zanzibar.
Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mgeni Hassan Juma akitia saini kwenye kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi kwaajili ya kuchukua fomu ya kugombea kiti cha Urais kupitia chama hicho.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages