MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora. Mama Mariam Mwinyi akimabidhi mmoja wa Wazee wa Tumbatu Sadaka ya Futari Bi.Tabu Kheri Haji ikiwa ni moja ya vyakula alivyokabidhiwa kwa Wajane Wazee na Wenye hali ngumu, hafla hiyo iliyofanyika katika Kijiji cha Jongowe Tumbatu Unguja leo 21-4-2022. (Picha na Ikulu)
WAZEE wa Tumbatu wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Mama Mariam Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa hafla ya kutoa Sadaka ya Futari kwa Wajane Wazee na Wenye hali Ngumu iliyofanyika katika Kijiji cha Jongowe Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 21-4-2022. (Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Mama Mariam Mwinyi akiitikia ikisomwa na Sheikh.Makame Said Khamis.(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa hafla ya kutoa Sadaka ya Futari kwa Wajane Wazee na Wenye Hali Ngumu katika Kisiwa cha Tumbatu, iliyofanyika katika Kijiji cha Jongowe na (kulia kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud na (kushoto kwake) Sheha wa Shehia ya Jongowe Bi. Miza Ali Sharif. (Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na kuagana na Wazee wa Tumbatu baada ya kumalizika kwa hafla ya kutoa Sadaka ya Futari kwa Wajane Wazee na Wenye Hali Ngumu katika Kisiwa cha Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 21-4-2022.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment