KAMATI YA HABARI ZANZIBAR YATOA TAARIFA KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA HABARI DUNIANI - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Sunday, May 15, 2022

KAMATI YA HABARI ZANZIBAR YATOA TAARIFA KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA HABARI DUNIANI

Mwenyekiti wa kamati ya Habari Zanzibar Farouk Karim akizungumza na waandishi wa habari huko Ukumbi wa Skuli ya Uwandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma Kilimani kuhusu maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Habari duniani yanayotarajiwa kufanyika mei 22 katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdul-wakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Massoud Othman anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika maadhimisho hayo. PICHA NA FAUZIA MUSSA MAELEZO – ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages